MPYA!!! KWA WANACHUO WATARAJIWA ,HIZI NDIZO KOZI ZILIZOPEWA KIPAUMBELE CHA KUPEWA MKOPO WA CHUO KIKUU 2017/18
Tuesday, 8 August 2017
Comment
Habari ndugu mzazi au mlezi au Mwanachuo mtarajiwa. Matumaini ya
watanzani tuliowengi yapo mikononi mwa Bodi ya mikopo kwa wanafunzi
elimu ya juu(HESLB) kupitia serikali. Lakini ikumbukwe kwamba kila
Serikali duniani ina vipaumbele vyake, na kwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika wizara ya elimu ina Bodi ya mikopo ambayo
hudhamini masomo ya wanafunzi wahitaji na wanafunzi watakaosomea
programu ambazo ni vipaumbele vya Taifa kwa mwaka husika.
Hivyo basi wewe kama mwanachuo mtarajiwa unatakiwa kufahamu vipaumbele
Vya serikali katika utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Kwa mwaka wa masomo 2017/2018 Serikali Kupitia Bodi ya Mikopo kwa
wanafunzi wa elimu ya juu , watakao omba kozi zifuatazo wanauhakika wa
kupata mikopo ya serikali kwa ajili ya masomo yao.
KUNDI A
Courses under this cluster include: -
(i) Education (Science) and Education (Mathematics);
(ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery;
(iii) Veterinary Medicine, Pharmacy,
Nursing, Midwifery, BSc in Prosthetics and Orthotics, BSc in
Physiotherapy, BSc in Health Laboratory Sciences, BSc in Medical
Laboratory Sciences and BSc in Radiotherapy Technology) and other Health
Sciences;
(iv) Civil and IrrigationEngineering;
(v) Petroleum and Gas Engineering.
KUNDI B
Courses under this cluster include:
(i) Engineering Programmes (Civil, Mechanical,
Electrical, Mining, Mineral and Processing, Textile, Chemical and
Processing, Agriculture, Food and Processing, Automobile, Industrial,
Electrical and Electronics, Legal and Industrial Metrology, Maritime
Transportation, Marine Engineering Technology,Electronics and
Telecommunication, Computer, Computer Science Software, Information
Systems and Network, Environmental, Municipal and Industrial Services,
and Bio-Processing and Post-Harvest);
(ii) Agricultural and Forestry Sciences
Programmes (Agriculture, Agronomy, Horticulture, Agricultural Economics
and Agribusiness;
(iii) Forestry, Aquaculture, Wildlife Management, Life Sciences, and Food Science and Technology);
(iv) Animal Sciences and Production;
(v) Science Programmes (BSc General, BSc
in/with Applied Zoology, Botanical, Chemistry, Physics, Biology,
Microbiology, Molecular Biology and Biotechnology, Fisheries and
Aquaculture, Aquatic Environmental Sciences and Conservation, Geology,
Petroleum Geology, Petroleum Chemistry, Mathematics, Mathematics and
Statistics, Environmental Science and Management, Environmental Health,
Biotechnology and Laboratory, Wildlife and Conservation and Computer);
iv) Land Sciences Programmes (Architecture, Landscape and
Architecture,Interior Design, Building Survey, Building Economics, Urban
and Regional Planning, Land Management and Valuation, and Geospatial
Sciences).



0 Response to "MPYA!!! KWA WANACHUO WATARAJIWA ,HIZI NDIZO KOZI ZILIZOPEWA KIPAUMBELE CHA KUPEWA MKOPO WA CHUO KIKUU 2017/18"
Post a Comment
TOA MAONI SIO MATUSI