NAFASI YA KAZI YA DEREVA -YETU Microfinance Bank Plc ,IFAKARA
Monday, 7 August 2017
Comment
Details
- Application deadline
- 2017-08-14
- Business / Employer name
- YETU Microfinance Bank Plc
- Job categories
- Driver
- Job Role
- Experienced
- Position Type
- Full Time
- Organization Type
- Private Sector
Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description
NAFASI YA KAZI YA DEREVA
YETU Microfinance Bank Plc inapenda kuwatangazia nafasi ya kazi ya udereva kwa waombaji wenye sifa
KITUO CHA KAZI: IFAKARA
MAJUKUMU
Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubainin hali ya usalama wa
gari Kupeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari Kukusanya na kusambaza nyaraka
mbalimbali Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la
safari Kufanya kazi zingine kadri atakavyoelekezwa na wakubwa wa kazi.
SIFA NA VIGEZO
Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 kwenye kampuni inayotambulika Awe na
leseni ya udereva daraja E na C1 Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya
uendeshaji magari yanayotambuliwa na chuo cha mafunzo ya ufundi
stadi(VETA) Umri kuanzia miaka 35-45 Mchapaka kazi mwadilifu na mwenye
kuzingatia muda
To apply for this job, please go to the following website>>bofya hapa>>



0 Response to "NAFASI YA KAZI YA DEREVA -YETU Microfinance Bank Plc ,IFAKARA "
Post a Comment
TOA MAONI SIO MATUSI